Skip to content

Swahili

Coercive Control

Taarifa zaidi kuhusu IWSS na taarifa katika lugha nyingine zinapatikana kwenye tovuti yetu iwss.org.au au tafadhali wasiliana na timu ya IWSS kwa 07 3846 3490 Jumatatu - Ijumaa saa tatu asubuhi hadi saa kumi jioni (9am - 4pm) ili kuzungumza na mmoja wa wafanyakazi wetu waliopata mafunzo.

Ikiwa uko hatarini, unaweza kupiga simu kwa Polisi kwa 000 na una haki ya kuzungumza na mkalimani.

Ikiwa wewe au mtu unayemjua ameathiriwa na unyanyasaji wa nyumbani, familia na kingono, tafadhali wasiliana na 1800 Respect kwa 1800 737 732.

Ikiwa unahitaji mkalimani unaweza kupiga simu kwa Huduma ya Utafsiri na Ukalimani (TIS kitaifa) kwa nambari 131 450 na uwaombe wakupigie simu, bila malipo. Una haki ya kuwa na mkalimani.

Podikasti hii iliwezeshwa na Huduma ya Usaidizi kwa Wanawake Wahamiaji, wanawake wakarimu ambao wameshiriki nasi hadithi zao na mpango wa Serikali ya Queensland inawekeza katika Queensland Women Initiative.

light blue mandela pattern

Podikasti imetayarishwa na The Stream Team.

Skip to content